Tekst piosenki Sina mali, sina deni , Khadja Nin

Spis alfabetyczny tekstów piosenek:

Poniżej prezentujemy Wam tekst piosenki Sina mali, sina deni , Khadja Nin
Zobacz także inne piosenki Khadja Nin

 

Ahiya, Ahiya
Kwa baraka
Mimi napona
Kabisa, ni hajabu
Sina mwili tena
Niko sawa upepo
Mimi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina nyesha kama mvua
Ina ruka kama ndege
Ina cheka kama mtoto


Ahiya, mam'ahiya
Sina haja,ya kitu,
mimi napona
I'm free, kama maji
Anatembeya mpaka katika pori
Mimi, mi masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ota kama maua
Ina pita kama nyota
Ina waka kama jua


Pole pole mama
Wakati wangu umefika, mimi napona
I'm free, kama hewa
Ina ingiya mpaka fasi inapenda
Mimi, ni masikini
Sina mali mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ona kama macho
Ina waka kama moto
Ina lia kama ngoma

I'm free kama maji
Ana tempaka mpaka kati ya pori


Kama hewa, kama macho kama nyota, kama maji
Kama mimi leo, mimi napona


I'm free, I'm free
Kama mimi leo, mimi napona


Ahiya Mam'ahiya
sina mali, Mungu, sina deni

 

 

Serwis Młodzieżowy.pl, w tym cała redakcja, nie ponosi odpowiedzialności za tekst piosenki Sina mali, sina deni - Khadja Nin . W przypadku naruszenia jakiś praw, prosimy o kontakt.

 

R E K L A M A

Najpopularniejsze