Tekst piosenki Bwana C , Khadja Nin

Spis alfabetyczny tekstów piosenek:

Poniżej prezentujemy Wam tekst piosenki Bwana C , Khadja Nin
Zobacz także inne piosenki Khadja Nin

 

Mayisha yangu wewe
Aca niku imbiye
Ujuwe kama
Tangu nimeku ona
Nakupenda nakupenda wewe


Hakuna duniyani
Mapendo zayidi iyi
Najuwa kama
Hayi wezekane
Nakupenda nakupenda wewe


We bwana wa ungine
Sikuwa najuwa yangu
Mapendo ya vile
Kweli nime jaribu
Kukusahabu wewe bwana
Alakini mama ... siweze


Usini one mubaya
Sinta ku ingiliya
Mapendo yangu
Ita baki inje
Nakupenda nakupenda wewe


Aca niku imbiye


Mayisha yangu wewe
Waca niji imbiye
Ata kama wewe
Huweze nipenda
Nakupenda nakupenda ...
We Bwana C.
Wewe Bwana C.
Wewe Bwana C.
Wewe Bwana C.

 

 

Serwis Młodzieżowy.pl, w tym cała redakcja, nie ponosi odpowiedzialności za tekst piosenki Bwana C - Khadja Nin . W przypadku naruszenia jakiś praw, prosimy o kontakt.

 

R E K L A M A

Najpopularniejsze