Tekst piosenki Mwana wa mama , Khadja Nin

Spis alfabetyczny tekstów piosenek:

Poniżej prezentujemy Wam tekst piosenki Mwana wa mama , Khadja Nin
Zobacz także inne piosenki Khadja Nin

 

We mwana wa mama
Tunapata haya
Mbele ya duniya wandugu
Kweli tumetubiya
Ju tumerudi ku uwana tena wandugu
Tabu ule utamwambiya nini ?
Damu ya wake umemwanga bule


Waca liya
Usiwa ace vile
Uwambiye
Wambiye inchi ni ya siye wote


Mungu akijaliya
Mbele yo duniya
Tutapata namna wandugu
Ata ukiumiya
Jaribu tena ju fitina hayisayidiye
Tabu ule utamwambiya nini ?
Ju ni damu ya wake umemwanga bule

 

 

Serwis Młodzieżowy.pl, w tym cała redakcja, nie ponosi odpowiedzialności za tekst piosenki Mwana wa mama - Khadja Nin . W przypadku naruszenia jakiś praw, prosimy o kontakt.

 

R E K L A M A

Najpopularniejsze